Masokomoko Penzi lako noma, makorokocho siwezi soma
Ni heri tubaki moko moko, tugawane kona
Mimi na wewe tuachane, napuliza kipenga tumeshamaliza Game
Ndiyo lilishakwenda, penzi tulirehemu
Mimi japo nalalamika, moyo wangu umeshakubali
Ila umevunjika vunjika, vipande vipande siyo shwari
Na maumivu uliyonipa, yananitesa vikali
Sasa lisinifike gharika, acha nifunge safari
Nakwenda mbali na wewe, napepea
Naona ya moto, mapenzi gani nalia
Vya misoto kwangu hatari naumia
Labda mimi wa kushoto nilivifosi vya kulia
Vya kunawa mimi nikavipikia, ahaaa
Nimesharidhia, nikae mbali mie akha
Mimi japo nalalamika, moyo wangu umeshakubali
Ila umevunjika vunjika, vipande vipande siyo shwari
Na maumivu uliyonipa, yananitesa vikali
Sasa lisinifike gharika, acha nifunge safari
Nakwenda mbali na wewe, napepea
WRITERS
Calrie Bronze, Goodluck Debana, Nassar Daffa, Paul Chagula