Kama ni mapenzi yaniuwe basi yaniue
Kama siyajui nipeleke shule baby
Kwengine sioni penzi lako lanipa upofu we
Kwenye makorongo usinitue baby
Me nishajigamba sana kwa masela majita
We ndo changu kipenzi nishawaambia
Sa usije kunichanganya mwenzako nitakwisha
Si ushajua siwezi bila ya penzi lako mimi siwezi
Bila we mi nitaukosa uhai
Ni raha tu vile unanikosha
Utaniambia nini kuhusu mapenzi
Kwako nimegota nikikuona ka nimeona nyota
Kwa penzi lako chozi la nidondoka
Me nishajigamba sana kwa masela majita
We ndo changu kipenzi nishawaambia
Sa usije kunichanganya mwenzako nitakwisha
Si ushajua siwezi bila ya penzi lako mimi siwezi