Kukuhini Kusiokwisha kumeangukia Pemani
Roho Yanidadarika kashantoka Shetwani
Nimeumbiwa Makosa mwanadamu Na Mimi
Moyo Umekunja Ndita nakumiss Jamani
Ngumu Safari nlifanya Njiani Ushukie Eeh Eh!
Ukakosa Seat mmiliki Gari Lako Mwenyewe Eh!
Nikajiona Me Ndo Mie Eeeh Eh!
Kweli Mbaya Halisi na Wema Hakosi Eeeh Eh!
Nisamehe Nisamehe nisamehe Nisamehe
Nachanganyikiwa na Vilio Sishikiki
Niko Magharibi lizamapo Jua
Wewe Upo Mashariki zawadi Vipochi
Vijuisi Vipipi nazimiss Chocolate
Nimekoma Dear nilivyonyongea
Huba Zako Sizipati tabibu
Kunikomesha Umepata toto la Kitanga
Sababu umeichoka Jeuri Yangu
Limeniisha Kabisa baby Hali Nanga
Ngumu Safari nlifanya Njiani Ushukie Eeh Eh!
Mmiliki Gari Lako Mwenyewe Eeh Eh!
Nikajiona Me Ndo Mie Eeeh Eh!
Kweli Mbaya Halisi na Wema Hakosi Eeeh Eh!
Nisamehe Nisamehe nisamehe Nisamehe
Nimuingie Kwa Style Gani nimlilie
Niseme Nna Mimba kasahau Tshirt Nyumbaani
Uvumilivu Unanishinda Kwanini
Nikimpigia Kusudi Zake na Akipokea
Eti Haloo Wewe Nani? Iiiiih! Iiiih!
Na Namba Kakupa Nani? Mara Oooh Kumbe Wewe
Unafanya Issue Gani? Siku Hiziiiii Iiih!
Me Msanii Anajua ina Maana Hanioni?
Kwenye Tv Iiiih! Aah! Aih Wewe!